Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, September 18, 2009

Wajapan wamuaga Katibu Mkuu menejimenti ya Utumishi wa umma

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menijimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa kujitolea kutoka Japan walikuwa wakisaidia katika maeneo mbalimbali hapa nchini baada ya kwenda kumuaga ofisi kwake jana jijini Dar salaam . Vijana hao walikuwa hapa nchini kwa kipindi cha miaka miwili walikuwa wakijitolea katika mikoa ya Dar es salaam, Dodoma , Lindi na Mtwara( na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam)

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP