Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, September 24, 2009

Mabomu tena Mbagala

Mpiga picha wa Nipashe Selemeni Mpochi akipata snap za majeruhi huko Mbagala.

Mkazi wa Mbagala kuu mama Eva Paulo katikati akiwa na watoto wake Asha Suleiman miaka 5 Kulia na Saada Suleiman miaka 2 walionusurika katika ajali ya bomu hilo wakipata kifungua kinywa mara baada ya kupata matibabu hospitalini na kuruhusiwa kurejea nyumbani familia hii pia imepoteza mtoto mmoja.




Maafisa wa usalama pamoja na raia wakiokota vipande vya bomu hilo leo asubuhi mara baada ya kulipuka na kuuwa watoto wawili na kujeruhi wengine.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP