Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, September 23, 2009

Zain yazawadia waliofanya kazi vizuri

Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania, Khaled Muhtadi (kushoto) akikabidhi tuzo ya cheti kwa mfanyakazi wa Zain, Dickson Casmir (kulia) ikiwa ni kumtambua kama mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo waliofanya vizuri zaidi katika robo ya tatu ya mwaka 2009. Hafla hiyo ilyofanyika hivi wiki hii jijini Dar es Salaam iliandaliwa na Zain Tanzania kwa ajili ya kuwazawadia wafanyakazi wake waliofanya vizuri zaidi.



Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania, Khaled Muhtadi (kushoto) akikabidhi tuzo ya cheti kwa Msimamizi wa Huduma kwa Wateja wa Zain, Belinda Kivuyo (kulia) ikiwa ni kumtambua kama mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo waliofanya vizuri zaidi katika robo ya tatu ya mwaka 2009. Hafla hiyo ilyofanyika wiki hii jijini Dar es Salaam iliandaliwa na Zain Tanzania kwaajili ya kuwazawadia wafanyakazi wake waliofanya vizuri zaidi.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP