Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, September 18, 2009

Zain na Zawadi


Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Zain Tanzania, Kelvin Twissa (katikati) akiwa na Meneja Mawasiliano wa Zain Tanzania, Beatrice Mallya (kushoto) na Mratibu wa programu ya Zain Zawadi, Mwangaza Matotola wakionesha kadi na vipeperushi vya programu ya Zawadi kwa Waandishi wa Habari Dar es Salaam juzi baada ya kutangaza kuongeza idadi ya makampuni nchini yatakayotoa zawadi na punguzo la bei kwa huduma na bidhaa mbali mbali nchi nzima kwa wateja wa Zain katika program yake ya Zain Zawadi.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP