Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, September 10, 2009

ROLI LAUA NA KUTEKETEZA NYUMBA MAENEO YA KIMARA MWISHO.


Roli la Mizigo aina ya Scania lenye namba za usajiri T885 ASM leo asubuhi limeparamia nyumba ya mkazi wa kimara mwaisho Salum Mussa na kuiteketeza kabisa, ambapo katika ajali hiyo nyumba nyingine imenusurika kugomngwa.


Roli aina ya Scania lililokuwa na namba za usajiri T885 ASM leo asubuhi katika maeneo ya Kimara mwisho jijini Dar es Salaam limeparamia nyumba ya mkazi wa eneo hilo Salum mussa na kuiteketeza kabisa ambapo katika tukio hilo pia Bw Salum amepoteza maisha, watu wawili wamenusurika katika tukio la ajali hiyo.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP