Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Saturday, September 19, 2009

Precision Air na Kenya Airways wafutarisha Dar

baada ya Ftari kila mtu alitulia kimya kabisa kusikiliza mawili matatu toka kwa waandaaji wa shughuli hiyo.


kushoto ni Sheikh Abou Mohamed ambaye ndie alieiongoza vyema shughuli hii kwa dua na ibada ya Magharibi,anaefuata ni Meneja Masoko wa Precision Air,ndugu Ibrahim Bukenya na ustaadh ambaye jina lake limenitoka kidogo,wakiwa katika picha ya pamoja mara tu baada ya kumalizika kwa shughuli nzima ya kufturisha wadau mbali mbali wakiwemo mawakala wa ndege hizo za Precision Air pamoja na Kenya Airways,iyofanyika katika Hotel ya Paradise All Suite City,iliyopo ndani ya mjengo wa Benjamin Mkapa Pension Tower's jioni ya jana.

WADAU WAKIPATA FTARI ILIYOANDALIWA NA MASHILIKA YA NDEGE YA PRECISION AIR NA KENYA AIRWAYS JANA JIONI KATIKA HOTELI YA PARADISE ALL SUITE HOTEL,ILIYOPO NDANI YA JENGO LA BENJAMIN MKAPA




WADAU WAKIJISEVIA FTARI KATIKA IFTAR ILIYOFANYIKA KATIKA HOTEL YA PARADISE,PALE BENJAMIN MKAPA PENSION TOWER,JANA JION.









SHEIKH WA MSIKITI WA KWA MYAMANI,SHEIKH ABOU MOHAMED AKITOA DAAWA KWA WAGENI WAALIKWA KATIKA SHUGULI YA IFTAR ILIYOANDALIWA NA PRECISION AIR NA KENYA AIRWAYS JANA JIONI










kampuni ya ndege ya Precision air pamoja na kenya airways walipofuturisha mawakala wa ndege pamoja na wageni wengine walioalikwa katika shughuli ya iftar iliyofanyika katika ukumbi wa Serengeti ball room ndani ya hotel ya paradise all suite city,iliyopo pale benjamin mkapa tower,jana jioni

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP