Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, September 10, 2009

Jamani picha hii na mwezi huu mtukufu si masihala haya?


Kwa wale wanaotupa watoto si bora mkampatia huyu mama aliyebeba nanihiii mgongoni kwake? kweli duniani kila mtu anawaza jambo lake na analitekeleza kwa wakati wake.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP