Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, September 16, 2009

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA INDIA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu wa Rais wa India, M. Hamid Ansari, ofisini kwa makamu huyo wa Rais jijini New Delhi , akiwa katika ziara ya kakazi nchini India , Septemba 15, 2009



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa India, S. M. Krishna kabla ya mazungumzo yao kwenye jumba la Hyderabad jijini New Delhi,jana mchana. Pinda yuko India kwa ziara ya kikazi.


Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa India, S. M. Krishna kabla ya mazungumzo yao kwenye jumba la Hyderabad jijini New Delhi jana

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Rais wa India, M. Hamid Ansari kwenye Ofisi ya Makamu huyo wa Rais, jijini New Delhi akiwa katika ziara ya Kikazi nchini India(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP