Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, September 15, 2009

Mchungaji Kizimbani


Mchungaji wa Kanisa la Imani na Uponyaji, Bw. Denis Mlanzi (kushoto) anayetuhumiwa kumuua mke wake Bi. Rosemary Munseri, akipelekwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke Dar es Salaam jana. (Picha na Charles





Mchunga Kondoo wa Kanisa la The Winners la Dar es Salaam "KIBWETERE" Denis Mlazi, aliyedaiwa kumuua mkewe Rosemary Munseri akiingia katika Mahakamya Wilaya ya Temeke kusomewa shitaka lake linalomkabili.








Alisomewa mashitaka yake na Mrakibu wa Polisi Basil Pandisha mbele ya Hakimu Hellen Riwa nakudaiwa kutenda kosa hilo la mauaji Septemba 6 mwaka huu saa 11 alifajiri katika eneo la Yombo Vituka wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP