Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, September 9, 2009

Mwaya na Mlimba kufanya upasuaji mdogo


Katibu wa Kituo cha Afya Mlimba, Peter Zebedayo, ( wapili toka kushoto mwenye kuvaa mavazi ya meupe) akitoa maelezo juu ya utoaji wa huduma za upasuaji kwa viongozi wa kitaifa wa mbio za mwenge wa uhuru wa mwaka 2009, walipotembelea Kituo hicho , mwishoni mwa mwezi Wilayani Kilombero.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP