Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, September 18, 2009

Mtoto wa Baba wa Taifa Madaraka Nyerere kupanda Mlima Kilimanjaro

Mtoto wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere, Madaraka Nyerere (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mpango wake wa kupanda Mlima Kilimanjaro Septemba 29, mwaka huu, kuchangisha fedha za kusaidia Kituo cha Community Alive cha Musoma, Mkoani Mara, kinacholea watoto yatima ambao wazazi wao wamekufa kwa UKIMWI. Kushoto ni Abdulhakim Magomelo mratibu wa mpango huo. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP