Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, September 15, 2009

UJERUMANI KUIMWAGIA TANZANIA SHILINGI BILIONI 27


Balozi wa Ujerumani Dkt. Guido Herz akibadilishana mikataba ya makubaliano na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Bw. Ramadhani Khijjah mara baada ya kutiliana saini ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania kiasi cha fedha za Kitanzania shilingi bilioni 27 kusaidia sekta ya Afya.Picha na Aron Msigwa- MAELEZO.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP