Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, September 11, 2009

SAMSUNG YAWAKABIDHI SIMU WAREMBO WA VODACOM MISS TZ 2009


Mkurugenzi wa TIC Emmanuel Ole Naiko, akifafanuan jambo wakati alipokwenda kukabidhi simu kwa Warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania linalotarajiwa kufanyika Oktoba 2 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam, hafla hiyo ya kukabidhi simu ilifanyika kwenye kambi yao iliyoko Girrafe Ocean View Hotel Kunduchi jana


Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC Emmanuel Ole Naiko, akikabidhi Simu kwa Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania, Zilizotolewa na Kampuni ya SWAMSUNG jana

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP