Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, September 18, 2009

Mambo ya Sasatel


Wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mikononi na Internet ya Sasatel kutoka kulia kareen Limbe, Winfrida Clement, Nipael Naimani mbele aliyekaa ni Fatumah Salim wakiwa katika picha ya pamoja katika duka mojawapo la kampuni hiyo lililopo Mtaa wa Jamhuri jijini Dar es Salaam.


Mfanyakazi wa kampuni ya Sasatel katika idara ya mauzo kutoka duka la Slipway Winfrida Clement na wenzake wakiangalia mauzo katika mtandao, Kampuni ya Sasatel imekuwa ikijiongezea wateja kadiri siku zinavyokwenda kutokana na ubora wa huduma zake hasa katika mawasiliano ya mtandao wa Internet sambamba na simu za mkononi.



Mfanyakazi katika duka la Sasatel Mtaa wa Jamhuri Neema Phiri akitoa maelezo kwa mteja wa kampuni hiyo Charles Mulokozi kutoka Idara ya wanyamapori jijini Dar es Salaam aliyefika dukani hapo kupata huduma ya Interneti

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP