Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, September 16, 2009

Vodacom Foudation yafuturisha Bukoba



Katika hafla hiyo kitengo hicho cha misaada cha Vodacom kilikabidhi pia aina nyingine za misaada ya kibinadamu kwa watoto hao.


wana madrasa wa bukoba mjini wakiimba qsda kwa watoto yatima wa Bukoba Mjini wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo hivi wikiendi hii.


Mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom mjini Bukoba akisaidia kugawa futari kwa baadhi ya watoto yatima wa Bukoba Mjini iliyotolewa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni. Katika hafla hiyo kitengo hicho cha misaada cha Vodacom kilikabidhi pia aina nyingine za misaada ya kibinadamu kwa watoto hao.







Baadhi ya watoto yatima wa mjini Bukoba, wakila futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni. Katika hafla hiyo Vodacom pia ilikabidhi misaada mingine ya kibinadamu kwa watoto hao.



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP