Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, September 23, 2009

‘King Blaize’ azindua albam yake iitwayo ‘Side Mirror’

Mwanamuziki wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ akiingia kwa mtindo wa Mfalme kuashiria uzinduzi rasmi wa albamu yake binafsi iitwayo ‘Side Mirror’.




Mwanamuziki wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ akihudumiwa kama mfalme katika onyesho la uzinduzi rasmi wa albamu yake binafsi iitwayo ‘Side Mirror’ katika ukumbi wa New Msasani Club Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.



Baadhi ya wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ kutoka kushoto, Stefania Machuda, Aaliyah Moses na Lily Mkwajuni wakisindikiza uzinduzi wa albamu binafsi ya msanii mwenzao, Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ iitwayo ‘Side Mirror’

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP