Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, September 11, 2009

Waziri Mkuu Indonesia


Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mazungumzo yake na Waziri wa Kilimo wa Indonesia, Anton Apriyantono (kushoto kwake) jijini Jakarta juzi. Pinda yuko Indonesia kwa ziara ya kikazi.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Hasan Wilayuda baada ya mazungumzo yao rasmi jijini Jakarta juzi. Pinda yuko nchini Indonesia kwa ziara ya kikazi.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP