Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, September 15, 2009

VODACOM MISS TANZANIA WAANZA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA


Warembo wakiwa pamoja na Naibu Waziri wa Viwanda na Masoko Mh. Cyril Chami mjini Moshi wikiendi iliyopita walipotembelea ukanda wa utalii sehemu hizo


Warembo wakivuka juu ya daraja la mto Wami kwa miguu hii ni moja ya utalii kwa vivutio vyetu hapa nchini






Warembo wakiwa na baadhi ya watalii kutoka mataifa mbalimbali wakijiandaa kupanda mlima Kilimanjaro



warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiwa karibu na hifadhi ya Kilimanajaro Marangu wakati wa ziara yao ya kitalii katika mbuga za wanyama hii ilikuwa ni mbuga yao ya kwanza kuingia kabla ya kuendelea na safari yao ambapo watatembelea pia hifadhi za Ngorongoro mkoani Arusha, Bodi ya Utalii nchini (TTB) ambayo ndiyo yenye dhamana ya kusimamia utalii nchini ni moja wa wadhamini wa shindano hilo ambapo wameipatia Miss Tanzania jumla ya shilingi Milioni 108 kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kufanikisha shindano hilo mwaka huu.


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP