Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, September 16, 2009

Maziko ya Mpakanjia katika picha


Waombolezaji mbalimbali wakiwa nyumabni kwa Marehemu Mohamed Mpakanjia kabla ya kwenda kwenda kumhifadhi katika nyumba ya milele makaburi ya Kisutu


Mkwe wa Marehemu Mpakanjia Mzee Chifupa akichukua muvi wakati wa maombolezo nyumbani kwa marehemu Mpakanjia


Kunumba Kushoto Claudi katikati na Raymond Kigosi Ray nao walikuwepo kumuaga mshikaji ambaye wamemuelezea kwamba alikuwa mtu wa watu na alikuwa mwenye kutoa msaada wa kila aina kwa wasanii na nyumba yake ilitumika mara nyingi kuigizia michezo yao hivyo marehemu Mpakanjia ameacha pengo kubwa kwa wasanii na ni kazi kubwa sana kuliziba.



Dude kushoto alikuwepo pia, laikini yeye aliendelea na mipango yake ya kuwatoka watu kama unavyomuona akiongea na simu kama vile yuko kwenye Luninga anaigiza huku wenzie wakimuangalia.


Akina mama mbalimbali wakiwa wamekaa kwa majonzi numbani kwa marehemu Mohamed Mpakanjia.








































Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza la marehamu Mohammed Mpakanjia kwa ajiri ya kwenda kuzika katika makaburi ya kisutu Dar es salaam









Baadhi ya waombolezaji wa Msiba wa Mohammed Mpakanjia wakiswalia jeneza kabla ya kwenda kuzika katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam jana.



















Marafiki,ndugu na jamaa wakiwa wamejumuika makaburi ya kisutu Upanga jana mchana wakisubiri mwili wa marehemu kuwasili sehemu ya maziko.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP