Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, February 23, 2010

Benki ya CRDB yazawadia washindi wa shindano la ‘Shuhudia kombe la Dunia la FIFA 2010 na Tembo CARD VISA

Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akimpa zawadi ya kifurushi chenye zawadi mbalimbali kutoka benki hiyo mshindi wa tano Bw. Richard Gunze.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles KimeiAkimpa zawadi ya kifurushi chenye zawadi mbalimbali kutoka Benki hiyo mshindi wa nne Bw. Fred Angels Musika

Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei Akifurahia jambo wakati akimkabidhi Bi. Pamela Kipokola ( kulia ) zawadi ya Luninga bapa ‘LCD’ iliyounganishwa na king’amuzi cha DSTV makao makuu ya Benki hiyo jijini Dar. Katikati ni Bw. Albert Temu mume wa Bi. Kipokola na mtoto wao Liberati.




Mshindi wa kwanza wa Shindano la ‘ Shuhudia kombe la Dunia La FIFA 2010 na Nembo CARDVISA’ Bi. Deborah Msuya akionesha mfano wa tiketi ya kwenda Africa ya Kusini kushuhudia kombe la Dunia aliyojishindia. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki hiyo Bi. Tully Mwambapa.


Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles KimeiAkimpa zawadi ya kifurushi chenye zawadi mbalimbali kutoka benki hiyo mshindi wa tatu Bi. Evalitha Tenson


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP