Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, February 22, 2010

KCB wamwaga Heri Bomani

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB wakisakata muziki wakati wa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene kwa kuteuliwa kuwa mbunge na Mheshimiwa Rais,na kumwaaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani , Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene akimkabidhi zawadi ya utendaji bora aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani katika hafla ya kumwaga rasmi,(katikati) Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Joram Kiarie.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB wakisakata muziki wakati wa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene kwa kuteuliwa kuwa mbunge na Mheshimiwa Rais,na kumwaaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani , Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene akimkabidhi zawadi ya utendaji bora aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani katika hafla ya kumwaga rasmi,(katikati) Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Joram Kiarie. Heri ameamua kufanya shughuli zake binafsi.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP