Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, February 19, 2010

Dk. Shein azindua mradi mkubwa wa maji Songea


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuzinduwa mradi wa maji safi katika manispaa ya Songea leo. Mradi huo uliofadhiliwa na Serikali ya Ujerumani umeharimu Jumla ya shilingi 33.2 Bilioni. Kulia kwake ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dk. Christine Gabriel Ishengoma.

Makamu wa Rais wea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akifunguwa pazia kuzinduwa rasmi mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika manispaa ya Songea leo. Jumla ya shilingi 33.2 Bilioni zimetumika hadi kukamilika kwa mradi huo uliofadhiliwa na Ujerumani. Picha na mdau Amour Nassor

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP