Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, February 23, 2010

Yanga 6-0 Toto African



Kipa wa Toto, Hussein Katandula akiwa chini huku ,sha,uliaji wa Yanga, Boniface Ambani akiwania mpira


Jerryson Tegete wa YAnga akijaribu kumuhadaaa Tete Kang'anga wa Toto Africa. Chini Shamte Ali akijaribu kumtoka beki wa Toto Africa Juma Abdul



Mshambuliaji wa Yanga, Boniface Ambani (kulia) akichuana na mchezaji wa Toto Africa, Aboubakary Mnyambegu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Uhuru jijini Dar leo. Yanga imeshinda bao 6-0


Fred Mbuna (kulia) akimtoka mchezaji wa Toto, Maulid Haniu



Jerryson Tegete akiifungia timu yake ya Yanga Tik-Tak




Mshambuliaji wa pembeni wa Yanga,Nurdin Bakar akimtoka beki wa Toto Africa, Wiliamu Busweru wakati wa mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika leo kwenye dimba la Uhuru. Yanga ilishinda 6-0.





Wachezaji wa Yanga wakishangilia moja ya mabao yao 6 waliyowafunga Toto Africa ya Mwanza katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom uwanja wa Uhuru jijini Dar . Picha zote na Francis Dande




0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP