Tamasha la WAPi ndani ya Dodoma wiki hii
Kama kawaida"WaPi" inaendelea kuzunguka mikoani. Baada ya mzunguko wa mikoani..Iringa mwezi wa 8-08-09, Arusha 3-10-09, Bagamoyo 12-12-2009, Mwanza 23-01-2010 Tumeinngia makao makuu Dodoma.
Safari hii kauli mbiu yetu ni Uhuru wa Sanaa... kwenye mada yetu "Uhuru wa Sanaa"...tunajadili hali ya kutojiamini ya wasanii wa mikoani na ile hali ya kutegemea mji wa Dar tu, kwa mafanikio yao.
KIJIWE MAARIFA tutakuwa na Meja, msanii mahiri wa uchoraji wa machata, Kemi Kalikawe, Atafanya warsha ya ulimbwende, usanifu wa mavazi.WaPi pia Yawaletea Wasanii mbali mbali wa sauti ya handaki(undeground), Katika harakati. Madijei, ma emsii, machata, mabreka ,michoro mbali mbali, ushairi,ngoma, maigizo na usanifu mitindo.Mahali: Nyerere Square,Dodoma mjini(maelekezo: Kati kati ya mji Dodoma, mkabala na benki ya NMB)Jumamosi, 27-02-2010 mida; saa 8 -alasiri-hadi 2 usiku
Mada ya mwezi:ni UHURU WA SANAA

0 comments:
Post a Comment