Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, February 25, 2010

Executive Solutions Wamuombea Alan Turner



Wafanyakazi wa Executive Solutions waliohudhuria misa hiyo maalum ya Turner.





Watumishi wa ES ambapo Alan alikuwa akifanya nao kazi wakifuatilia misa hiyo kwa makini



Vijana wa The Voice kutoka magomeni Dar es Salaam wakiimba katika Misa hiyo takatifu




Mkurugenzi Mtendaji wa Executive Solutions Aggrey Mareale akiwa katikati ya waliohudhuria misa hiyo maalum.






Wapowapo ya watu walioguswa sana na msiba huo ambao walishindwa kujizuia kwa kilio.




Waombolezaji wengine wakifuatilia misa hiyo Dar es salaam






0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP