Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, February 19, 2010

Rais Kikwete Afanya shughuli mbalimbali katika ziara yake ya Uturuki!

Askari wa jeshi la Uturuki wakimsindikiza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kuweka shada la maua katika kaburi la mpigania uhuru na mwanzilishi wa Taifa la Uturuki na pia Rais wa kwanza wa taifa hilo jana jijini Ankara.Rais Kikwete yupo nchini Uturuki kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Rais Abdullah Gul wa Uturuki


Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko Dr.Mary Nagu na Waziri wa nchi wa Uturuki Bwana Zafer Caglayan wakisaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Uturuki na Tanzania katika hafla iliyofanyika katika ikulu ya nchi hiyo jijijni Ankara Uturuki leo asubuhi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya kitaifa(State Baquet) iliyofanyika katika ikulu ya nchi hiyo jijini Ankara, Uturuki leo usiku.(watatu kulia) ni mwenyeji wake Rais wa Uturuki Abdullah Gul na kushoto mke wa Rais wa Uturuki Hyrunisa Gul.Kulia ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP