Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, February 25, 2010

Rais Kikwete afungua mkutano wa mwaka wa TAKUKURU



Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa TAKUKURU Dr. Edward Hosea akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete kufungua mkutano mkuu wa Mwaka wa taasisi hiyo unaofanyika mjini Mwanza leo asubuhi.
Baadhi ya maafisa waandamizi wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) wakipigamakofi wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Taasisi hiyo mjini Mwanza leo.



Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia viongozi waandamizi wa TAKUKURU wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa taasisi hiyo mjini Mwanza leo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa TAKUKURU Dr. Edward Hosea na kushoto ni Waziriri wan chi Ofisi ya rais Utawala Bora, Sofia Simba.


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP