Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, February 24, 2010

Msiba wa Alan Turner Afika Kusini

Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggreay Marealle akizungumza kwenye maombolezo ya msiba wa Alan Turner.


Watoto wa Alan, Greg na Carrie (wa kwanza na wa pili kulia) wakiegemeana karibu na mama yao Wendy(aliyeketi) wakati wasikiliza maelezo ya Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggreay Marealle katika msiba huo.

Watoto wa Alan, Jo(Kushoto) na Greg wakilia wakati wimbo maalum ukiimbwa.



Mwenyeji wa Alan, Sallie akikaribisha wageni kabla ya hafla hiyo



Wawakilishi wa Executive Solutions, Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggreay Marealle (Kushoto)na Media Relations Manager, Benjamin Thompson (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Alan, Carie na Greg(wa pili na wa tatu na wa nne mbele). Wengine pichani ni rafikiye Alan, aitwaye Graham na aliyeko nyuma ni Ajohn Addison anayeshirikiana na Executive Solutions kuanndaa Kilimanjaro Marathon.



Kutoka kushoto Mwenyeji wa Alan Sallie, Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggreay Marealle na Mzazi mwenzake na Alan Wendy.







Mtoto wa Pili wa Alan, Carrie akisoma muhtasari wa maisha ya Alan huku akitokwa na machozi, huku mdogo wao wa kiume Greg(kulia) na dada yao wa kwanza Jo (aliyekumbatiwa) wakilia).



Mkurugenzi Mwendeshaji wa Executive Solutions Alan Turner, ambaye ni wa pili kimadaraka kwa Mkurugenzi Mkuu, Aggrey Marealle, alifariki February 16, 2010 akiwa Johannesburg, Afrika Kusini. Mwili wake uliunguzwa huko huko siku mbili baadaye

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP