Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, February 19, 2010

Mapokezi ya JK Uturuki

Rais wa Uturuki Abdullah Gul na mkewe wakiwakaribisha ikulu ya jıjını Ankara Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma jana asubuhi.


Raıs Jakaya Mrisho Kıkwete na mwenyeji wake Raıs wa Uturuki Abdukkah Gul wakıkagua gwaride la heshima muda mfupi baada ya Rais Kıkwete kuwasili katika ikulu ya nchı hıyo iliyopo jijini Ankara jana asubuhi.

Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo wakati wa mkutano n a waandishi wa habari mara baada ya kufanhya mazungumzo rasmı katıka ikulu ya Ankara nchını Uturukı jana asubuhi.Pembenı akımsıkılıza nı Rais wa nchı hiyo Abdullah Gul.Raıs Kıkwete yupo katıka zıara ya kikazi nchini Uturuki(pıcha na Freddy Maro)

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP