Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, February 23, 2010

WAANDISHI WA HABARI MORO WAUKARIBISHA MWAKA 2010

Baadhi ya waandishi wa habari Mkoani morogoro wakicheza muziki kumaanisha furaha yao ya kumaliza vema mwaka wa 2009 na kuufikia mwaka wa 2010

Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari Morogoro ,Mtalimbo akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa sherehe ya kuukaribisha mwaka 2010


Baba! Bujaga Izengo Kidago naye alikuwepo katika sherehe hizo akiwa sambamba na mwandishi wa gazeti la Uhuru mkoa wa Morogor,Latifa Ganzel



hawa ni baadhi ya waandishi wa habari waliohudhulia sherehe ya kuukaribisha mwaka 2010


Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Morogoro,Ahmed Msangi (kushoto) Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro,Amir Nondo (katikati) na mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa morogoro,Boniveture Mtalimbo wakigongesha glasi kama ishara ya kuukaribisha mwaka 2010. Picha zote toka Bongo Ndiyo Home Blog



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP