Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, February 25, 2010

WARSHA YA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KUELEKEA UCHAGUZI

Washiriki na waandishi wa habari walioshiriki mjadala wa majukumu ya vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Majadala huo uliandaliwa na Sauti ya Ujerumani.


Mwenyekiti wa MISA –TAN Ayub Rioba akisisitiza jambo jana mjini Dar es salaam kwenye mjadala wa majukumu ya vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Wengine katikakti ni Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dunstan Tido Mhando na Mkuu wa Sauti ya Ujerumani kanda Afrika na Mahariki ya Kati Ute Schaeffer (kushoto) .



Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dunstan Tido Mhando (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Sauti ya Ujerumani kanda Afrika na Mashariki ya Kati Ute Schaeffer (kulia) wakati wa majadiliano juu ya wajibu wa vyombo vya habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Majadiliano hayo yameandaliwa na Sauiti ya Ujerumani

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP