Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, February 23, 2010

Dk Shein afungua mkutano mkuu wa jeshi la polisi


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akifunguwa Mkutano Mkuu wa Maofisa wa Jeshi la Polisi Nchini katika Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa mjini Dodoma


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein katikati, akiwa katika Picha ya Pamoja na Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi Nchini baada ya kufunguwa Mkutano Mkuu wa Maofisa hao katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Laurence Masha wa tatu kushoto Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Mwema.Picha na Amour Nassor

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP