Rais Karume akutana mkurugenzi mkaazi wa Benki ya Dunia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania,Uganda na Burundi John Murray Mclntire, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana, (wa pili kulia) ni Dieter Schelling. Picha na Ramadhan Othman Ikulu Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment