Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, February 24, 2010

Mkutano wa PASAKA


Wadau wote mlioko Marekani mnakaribishwa kwenye semina kubwa ya sikukuu ya Pasaka yenye nguvu za Mungu zenye kuleta mabadiliko maishani iliyoandaliwa na Mchungaji Pastor Abihudi na Catherine Abihudi. Semina hii itafanyika Kansas City, MO.
Wahudumu ni Mchungaji Charles and Catherine Abihudi(Wenyeji), Pastor Kagumba, Emmy Ntwina, Ben Maira(UK) na Dr. Shallua.
Unaweza kujiandikisha kwenye huu mtandao hapa, www.wakati.net/events.htm.
Gharama za mkutano ni $50 kwa siku mbili, Ijumaa na Jumamosi.
Jumapili mchana semina itakuwa imeisha. Gharama hii ni ya malazi na chakula.
Tafadhali jiandikishe kabla ya March 20, 2010.
Address ni Residence Inn, Marriot10300 North Ambassador DrKansas City, MO 64153
Kwa maelezo zaidi piga hizi namba hapa417 423 0591417 837 9340417 619 4951

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP