Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, February 23, 2010

ZAIN YAMWAGA MISAADA KILOSA

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Luteni Kanali (Mstaafu) Issa Machibya (kulia) akipeana mikono na Meneja wa Zain anayeshughulikia masuala ya Kijamii, Tunu Kavishe, wakati akipokea msaada wa, vyandarua magodoro na vifaa vingine vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 20, kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wilayani Killosa. Makabidhiano hayo yaliyoshuhudiwa na mkuu wa wilaya ya Kilosa, Halima Dendegu (Kulia) na wafanyakazi wa Zain kutoka kanda zote nchini, yalifanyika wilayani humo mwishoni mwa wiki.



Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Luteni Kanali (Mstaafu) Issa Machibya (Wapili kulia) akipeana mikono na Meneja Mauzo wa Zain kanda ya Kati, Samson Majwala, wakati akipokea msaada wa, vyandarua magodoro na vifaa vingine vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 20, kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wilayani Killosa. Makabidhiano hayo yaliyoshuhudiwa na mkuu wa wilaya ya Kilosa, Halima Dendegu (Kulia) na wafanyakazi wa Zain kutoka kanda zote nchini, yalifanyika wilayani humo mwishoni mwa wiki. (Picha kwa hisani ya Zain)

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP