Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, February 23, 2010

Msajili wa magazeti atembelea Uhuru na Mzalendo

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Uhuru Publications Ndugu Josiah Mufungo akiwa Ofisi kwake ( Kulia) wakati wa mazungumzo na Mkurugenzi msaidizi na Msajili wa Magazeti wa Idara ya Habari (Maelezo) wa (kwanza) jinsi Ofisi yake inavyofanya kazi ,Mkurugenzi huyo alienda kujifunza na kujua shughuli mbalimbali zinazofanywa na Gazeti la Uhuru .Na wa pili (kulia) ni Msajili Msaidizi wa Idara ya Habari Ndugu Ismail Ngayonga aliefuatana na Mkurugenzi huyo


Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Uhuru Publications Ndugu Josiah Mufungo (kushoto)akimwonyesha Maktaba ya Ofisi yake Mkurugenzi Msaidizi na Msajili wa Magazeti wa Idara ya Habari (Maelezo) wa pili (Kushoto) Ndugu Raphael Hokororo alietembelea Ofisi hiyo kwa ajili ya kujifunza,na wa pili((Kulia) ni Msajili Msaidizi wa Idara ya Habari Ndugu Ismail Ngayonga,aliefutana nae.Na wa kwanza (Kulia) ni Mkutubi wa Maktaba hiyo ndugu Mussa Hassan akielezea kitu kwa Mkurugenzi huyo leo jijini Dar.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP