Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, February 25, 2010

Picha zaidi za ziara ya JK Jordan


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jordan Samir Rifai.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Seif Ali Iddi na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jordan, Ameir Al Hadidi wakitia saini mkataba wa ushirikiano katika masuala ya Uchumi na Sayansi kati ya Tanzania na Jordan huko Amman, mji mkuu wa Jordan wakati wa ziara ya Rais Kikwete nchini humo



Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Seif Ali Iddi na Mkurugenzi Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Jordan, Mohammad Ali wakibadilishana mkataba wa Ushirikiano kati ya Tanzania na Jordan.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP