Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, February 26, 2010

Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba ziarani nchini Misri.

Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh I ssa Shaabani Simba akiwa katika picha ya pamoja na Sheikhul-Azhar (GRAND SHEIKH OF AL-AZHAR) Pr. Dr. Muhammad Sayyed Tantawyi katika Ofisi zake za Masheikhatul-Azhar zilizopo Darassa


Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa S Simba akiwa pamoja na katibu Mkuu wa Umoja wa Wanafunzi wa Kitaanzania wasomao Nchini Misri (T.S.U) na Mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Al-azhar Cairo Nd,Ghalib Nassor Monero katikati Sheikhul-Azahar Baada ya Mazungumzo katika ofisi za Sheikhul-Azhar Daraasa Cairo.



Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba katika Mazungumzo na Sheikhul-Azhar Pr. Dr. Muhammad Sayyed Tantawy Katika ofisi yake Masheikhatul-Azhar iliopo Daraasa.
Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaabani Simba yupo nchini Misri Akihudhuria Mkutano Mkuu wa 22 (The 22nd General Conference: Under the Title The Objectives of Shariah(Islamic Law)And Issues of the Contemporary Age. Mkutano huo ambao ulianza siku ya 22-25 February 2010 sawa na 8-11 Rabi Al-awwal 1431H. Mkutano huo ulifanyika Katika Hoteli ya Conrad, Cairo, na ulijumuusha Masheikh na Viongozi wa Wakuu wa Nchi mbalimbali.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP