Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, February 24, 2010

JK akiwa Jordan kwa Mfalme

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo ya faragha na mwenyeji wake Mfalme Abdullah II bin Al Hussein wa Jordan juzi.


Rais Jakaya Kikwete akifuatana na mwenyeji wake Mfalme Abdullah II bin Al Hussein wa Jordan baada ya kukagua gwaride la heshima aliloandaliwa Rais Kikwete wakati wa mapokezi jijini Amman Jordan.

Rais Jakaya Kikwete akipokewa na Mwenyeji wake Mfalme Abdullah II bin Al Hussein wa Jordan alipowasili kwa ziara yake ya kiserikali mjini Jornad juzi.





Rais Jakaya Kikwwete na mwenyeji wake Mfalme Abdullah II bin Al Hussein wa Jordan wakipokea salamu ya heshima wakati wa mapokezi alipowasili kwa ziara maalum ya kiserikali.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP