Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, February 18, 2010

Wapiganaji wa Moshi wafunga mwaka 2009 na kuukaribisha 2010


Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa na mmoja wa makada wa CCM mkoani Kilimanjaro Hansy Mmasi kwenye hotel ya Hugos mjini Moshi katika kusherekea ufunguzi wa mwaka 2010


KUTOKA kulia ni mwandishi wa redio Moshi Fm ya mjini Moshi, Maleli Venance akifuatiwa na mwandishi mwandamizi wa magazeti ya Rai na Mtanzania Nakajumo James, Mwandishi wa gazeti la Uhuru na Mzalendo Rodrick Makundi, na wengine wanaoonekana kwa mbali wakigongeana bilauli katika sherehe za kuuaga mwaka wa 2009 na kuukaribisha mwaka wa 2010

mwandishsi mwandamizi wa gazeti la Tanzania Daima Grace Macha akigonga chiazi na mwandishi mwandamizi wa magazeti ya Rai na Mtanzania Nakajumo James(wa bongo ndiyo Home) wakati wa sherehe hizo. Picha toka Bongo ndiyo home Blog


Swali; Jamani wanasherehe mbona mmetuonyesha picha za unywaji tu, inamaana wakati wa kula hakuna aliyekuwa na muda wa kamera??

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP