Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, February 22, 2010

Mkazi wa Mbezi ajishindia mchuma wa Zain



Willfred Maleko (28) akiutest mchuma wake kama uko fiti kwa safari

Willfred Maleko (28) akionesha funguo na nyaraka za gari yake mara baada ya kukabidhiwa leo mchana mbele ya waandishi wa habari kwenye makao makuu ya ofisi za Zain

Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Fedha Zain Bi.Peris kahugo akimkabidhi funguo na nyaraka za gari mshindi Bw.Willfred Maleko (28) huku Meneja Masoko Costatine Magavilla akishuhudia wakiwemo na waandishi wa habari.


Kampuni ya simu za mikononi ya Zain Tanzania leo mchana imemkabidhi gari jipya pichani aina ya Toyota Land Cruizer Bw.Willfred Maleko (28) Mkazi wa Mbezi ambaye yupo kwenye kitengo cha Utafiti mifumo wa Taifa Bima ya Afya,Willfred amezawadiwa gari hiyo baada ya kuibuka mshindi kwenye promosheni ya Ongea Uzawadiwe.



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP