JK akitembezwa kwenye ofisi hizo za CAG mjini Singida na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa serikali, Mh. Ludovick Utoh, jana jioni.
JK akikata utepe kufungua rasmi ofisi za mthibiti na mkaguzi mkuu wa serikali (CAG) mkoani Singida huku akishuhudiwa na mthibiti na mkaguzi mkuu Mh. Ludovick Utoh (kushoto kwa JK) na balozi wa Sweden nchini Mh. Staffan Herrstrom (shoto)
0 comments:
Post a Comment