Counselor General wa Tanzania ndani ya Dubai na Emirates za Kaskazini, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh akikata utepe kwenye ufunguzi wa ofisi ya Jumuiya. Shoto kwake ni Mwenyekiti wa Jumuiya Arch. Mohammed Shariff na kulia ni Makamu Mwenyekiti Bw. Mbarak Ahmed.

Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Watanzani UAE Eng. Shaaban Mgido akimkabidhi Counselor General wa Tanzania ndani ya Dubai na Emirates za Kaskazini, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh hati ya shukran kwa mchango wake mkubwa katika uanzishwaji wa Jumuiya hiyo.

Counselor General wa Tanzania ndani ya Dubai na Emirates za Kaskazini, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh akimnasihi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UAE Arch. Mohammed Shariff

Picha ya pamoja ya watendaji wa Jumuiya ya Watanzania UAE na Couselor General, toka shoto ni Bw. Shabbir Damji - Katibu Mkuu, Bw. Mohammed Shariff - Mwenyekiti, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh, Bw. Mbarak Ahmed - Makamu Mwenyekiti, Eng. Issa Majid Maggidi - Naibu Katibu

Counselor General wa Tanzania ndani ya Dubai na Emirates za Kaskazini, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UAE Arch. Mohammed Shariff shoto na Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Watanzani UAE Eng. Shaaban Mgido.
0 comments:
Post a Comment