mambo ya barabarani
Hapa ni Soga, Chalinze mkoani Pwani. Hili ni tenki la gesi lililokuwa linakwenda kenya.Ishu ni kuwa ilikuwa ni katika kuondoa uwezekano wa mlipuko mkubwa ambao ungeliweza kusababishwa na kugongana uso kwa uso na jamaa alipokwepa ajali tenki likaserereka mpaka hapo. taarifa za moto wa peteroli ziliwakimbiza wananchi kuwa karibu na tela hilo . Picha toka kwa Lukwangule
0 comments:
Post a Comment