Mbunge anapowekwa kati na Sheria
Kawa mdogo kama tundu la sindano
Morogoro Kusini Mashariki, Sameer Lotto akiongozwa na mmoja wa Polisi wa Kituo Kikuu cha Kati cha Mjini Morogoro kwenda kuandikisha maelezo katika Ofisi za Makosa ya Jinai ya Wilaya na Mkoa wa Morogoro, jana ( Sept 7) baada ya kukamatwa sehemu aliyokuwa akisimamia ujenzi wa jengo lake lililopo mjini hapa kwa kutuhumiwa kumzuia na kumchania ankara za madai ya matumizi ya maji mfanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ( Moruwasa) .Picha kwa hisani ya John Nditi
0 comments:
Post a Comment