TBL na tuzo yake
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Maneno Mbegu (katikati) akionesha mbele ya waandishi wa habari Dar es Salaam jana, tuzo iliyotolewa zawadi kwa Kiwanda cha Bia cha Mwanza kwa kuwa washindi wa uzalishaji bora wa bia -Afrika. Kushoto ni Mtaalamu wa Utengenezaji Bia wa TBL, Cavin Nkya ambaye ameshika cheti cha uzalishaji bora wa bia ya Castle Lager na Kulia ni Meneja wa Ubora Kiwanda cha Bia cha Mwanza, Caroline Mhonoli aliyeshika cheti kilichoambatana na tuzo ya uzalishaji bora wa kiwanda.
0 comments:
Post a Comment