Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, September 4, 2009

Ulaji zaidi Miss Tanzania



Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii Nchini Geofrey Meena kulia na Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashim Lundenga wakisaini mkataba wa kudhamini shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 TTB imeingia mkataba wa kwa milioni 108 ambapo kauli mbiu ya shindano hilo kwa mawaka huu ni kutangaza Utalii wa ndani, wanaoshuhudia katika picha ni Meneja udhamini na mawasiliano Vodacom Tanzania George Rwehumbiza, Jonson Manase Meneja huduma za Utalii TANAPA kulia na kushoto ni Adam Akyoo Meneja uhusiano mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro Cnsorvation Area Authority (NCAA)


Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii nchini (TTB) Geofrey Meena kushoto akiongea na waandishi wa habari jana kwenye Hoteli City Paradise wanaofuatia katika picha ni Meneja udhamini na mawasiliano Vodacom Tanzania George Rwehumbiza, Jonson ManaseMeneja huduma za Utalii TANAPA na mwisho ni Vodacom Miss Tanzania 2008 Nasreem Karimye Hoteli ya City Paradise wakati bodi hiyo

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP