WATOTO YATIMA WAPATIWA MISAADA NA UBALOZI WA SAUDI ARABIA
MKURUGENZI WA IDARA YA USTAWI WA JAMII ZANZIBAR HALIMA MAULID AKIMKABIDHI MMOJA YA WATOTO WANAOISHI NYUMBA YA WATOTO FORODHANI MSAADA ILIOTOLEWA NA UBALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI TANZANIA KWA WATOTO YATIMA WA ZANZIBAR. KULIA NI KAIMU KATIBU MTENDAJI WA WAKFU NA MALI YA AMANA ZANZIBAR SHEIKH KHALID MOHAMMED MRISHO, MAKABIDHIANO HAYO YAMEFANYIKA KATIKA NYUMBA YA WATOTO FORODHANI JANA. Picha na Othman Maulid Othman
0 comments:
Post a Comment