BMTL yaibuka na mashine mpya ya kuhesabia fedha na kubaini noti feki
Mkurugenzi wa kampuni ya Business Machines Tanzania Limited (BMTL), Deen Nathwani (kulia), akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu matumizi ya mashine mpya ya kuhesabia noti na kutambua noti bandia aina ya Glory Sorter mara baada ya kuizindua katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jumatatu jioni.
BMTL pia ilitambulisha mashine za kutambua noti bandia za kigeni na Coin. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa BMTL, Ketul Patel na Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Ramakrishnan Kirubakaran.
0 comments:
Post a Comment