Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, August 6, 2009

Miss Tourism Tanzania 2009, aenda China

Miss Tourism Tanzania 2009, Gisela Tarimo (katikati) akipozi kwapicha Mratibu wa Kitaifa wa Miss Universe Tanzania , Mwanakombo Mjajuki (kushoto) na Matron wa Miss Universe, Sarah Martin MissUniverse kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dares Salaam jana muda mfupi kabla ya kuondoka kuelekea katika mji wa Zhonghou nchini China kushiriki mashindano ya Miss Tourism QueenInternational yanayotarajiwa kufanyika mjini humo Agosti 28 mwakahuu.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP